Benzi za kukodishwa kwenye harusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Benzi za kukodishwa kwenye harusi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rukwa21, Apr 26, 2012.

 1. R

  Rukwa21 Senior Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  wanajamii naomba ushauri kuhusu biashara ya kukodisha benzi za harusi zinalopa? Na kwa mfano ukipata order moja ya harusi ni shs ngapi? Naomba ushauri wenu wadau nafikiria kufanya hii biashara
   
 2. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Fanya costing, sijui wanaita kuchokonoa au kuchakachua, uangalie gharama zako na uongezee faida yako.
   
 3. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  inategemea na mkoa ,ila kwa moshi ni 200,000 had 300,000,huku ikitegemea na umbali ambapo sherehe inafanyika
   
Loading...