Nimeliona limepaki hapa habour view tower samora muda mrefu kidogo. Ni machine ya haja lina cc6752 za petrol liter twin turbocharged V8 engine, 8 automatic transmission na bei ya manunuzi bila kodi ya TRA ni usd 285,000 tu.
1billion = How many Vitz?
Solution:
1 billion = 1000 Millions
Let say 1 Vitz = 10 Millions
? =1000 Millions
If you cross multiply the equation,
= 1000/10
= 100
Therefore 1 Bentley = 100 Vitz in terms of purchasing cost
Du kiukweli gari ni zuri sana hakuna asiye penda mazuri hata mimi ningekuwa na uwezo huo ningeimiliki hii ndinga. Ila kwa maisha ya kawaida hizi cc6752 ni balaa