GE2025 Benson Kigaila: CHAUMMA ina wanachama wengi inazidiwa na CCM tu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bara, Benson Kigaila amesema;

"CHAUMMA leo ni chama chenye wanachama wengi, kinaweza kuwa kinazidiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tu ambacho kimejijenga kwa dola kwa miaka yote, lakini CHAUMMA ni chama chenye wanachama wengi, na athari yake utaiona kwenye uchaguzi"

Your browser is not able to display this video.

Chanzo: Jambo TV
 
CHAUMA imewapiku chadema kwa mbali mno. Hakika hiki ndiyo chama halisi cha upinzani
 
Huyo mgombea wa chaumma hatoshi,hana impact let me predict,ACT katika mikutano watajaza kweli,chaumma wangeunga mkono ACT kwenye urais,wakabaki kupigania wabunge,pekee that could make sense,
#Napigana na drafting ya ubunifu wa BRICS BANK NOTES, TO COME!
 
Kwa jinsi walivyokuwa wakigawa kadi za uanachama sijui kama wanajua idadi halisi ya wanachama. Sitashangaa uchaguzi ukikaribia watu kibao wakijitokeza kwenye mikutano ya washindani wao kurudisha kadi zao.

Amandla...
 
CDM walishapotea kwenye Ramani ya Siasa za Tanganyika. Kwisha !
 
Muambieni Kigailla amuambie John Mrema arudishe nywila za akaunti ya CHADEMA Digital ni aibu kwa mtu binafsi kujimilikisha mali za chama🐼
 

Hii nchi wagonjwa wa akili ni wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…