idiomer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 292 Reaction score 347 Today at 7:05 PM #1 Wateja wanakuwa mafukaraa. Hawaoni ni wakati wa kushusha riba. Benki ina faida ya bilion 672 kwa mwaka daah Hakuna anayeonaa wateja dhoofu li hali
Wateja wanakuwa mafukaraa. Hawaoni ni wakati wa kushusha riba. Benki ina faida ya bilion 672 kwa mwaka daah Hakuna anayeonaa wateja dhoofu li hali
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 8,038 Reaction score 23,073 Today at 7:26 PM #2 Lazima wajipigie maana the future is uncertainty... Haijulikani nani atakuja km magu alivyoshtukiza
Patrice Diounis JF-Expert Member Joined Jul 24, 2023 Posts 1,166 Reaction score 2,396 Today at 7:28 PM #3 Benki ni masikini hd pale unapojidanganya wakutunzie hela zako.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,643 Reaction score 138,755 Today at 7:30 PM #4 Ni vile tu shida na changamoto zimegoma kuachana na sisi wananchi wa kipato cha kati na chini.
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 14,568 Reaction score 31,428 Today at 7:43 PM #5 Wewe unaweka fedha benki, benki inafanyia kazi pesa yako bila riba kukulipa wewe. Benki kalamu zao wanafunga kamba. Hawakuamini hata wewe ulieweka fedha kwao. Wataachaje kutajirika! π
Wewe unaweka fedha benki, benki inafanyia kazi pesa yako bila riba kukulipa wewe. Benki kalamu zao wanafunga kamba. Hawakuamini hata wewe ulieweka fedha kwao. Wataachaje kutajirika! π
idiomer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 292 Reaction score 347 Today at 8:07 PM Thread starter #6 Daah inaumaaa sanaa
Jobless_Billionaire JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 5,614 Reaction score 14,216 Today at 8:10 PM #7 Chivundu said: Wewe unaweka fedha benki, benki inafanyia kazi pesa yako bila riba kukulipa wewe. Benki kalamu zao wanafunga kamba. Hawakuamini hata wewe ulieweka fedha kwao. Wataachaje kutajirika! π Click to expand... Ni kisago tu
Chivundu said: Wewe unaweka fedha benki, benki inafanyia kazi pesa yako bila riba kukulipa wewe. Benki kalamu zao wanafunga kamba. Hawakuamini hata wewe ulieweka fedha kwao. Wataachaje kutajirika! π Click to expand... Ni kisago tu
Patrice Diounis JF-Expert Member Joined Jul 24, 2023 Posts 1,166 Reaction score 2,396 Today at 8:38 PM #8 Chivundu said: Wewe unaweka fedha benki, benki inafanyia kazi pesa yako bila riba kukulipa wewe. Benki kalamu zao wanafunga kamba. Hawakuamini hata wewe ulieweka fedha kwao. Wataachaje kutajirika! π Click to expand... π Papaa Chivundu.
Chivundu said: Wewe unaweka fedha benki, benki inafanyia kazi pesa yako bila riba kukulipa wewe. Benki kalamu zao wanafunga kamba. Hawakuamini hata wewe ulieweka fedha kwao. Wataachaje kutajirika! π Click to expand... π Papaa Chivundu.
Nkulu wa nchito JF-Expert Member Joined Dec 13, 2019 Posts 2,112 Reaction score 2,801 Today at 8:39 PM #9 Zitaachaje kutajirika we ukope milioni 10 ulipe milioni 20
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 14,568 Reaction score 31,428 Today at 9:03 PM #10 Patrice Diounis said: π Papaa Chivundu. Click to expand... Naam naam