Ndg wana JF habari zenu na poleni kwa shughuli za maendeleo ya nchi yetu.
Naomba mwenye uelewa au ufahamu wa benki yenye Fixed Deposit itakayo nizalishia PESA zangu na ku multiply reasonably
within 2 to 3 years atleast.
Nina almost 3M ambazo for the time being sina nazo kazi until maybe 5 years to come. Lakini kama hiyo benki itakuwa nzuri zaidi naweza kuacha pesa zangu even for next 15 years for my children tuition fee.
Please guyz if anybody is aware of such bank, i would like to know.
WISHING YOU A SUCCESSFUL NEW YEAR.