Huu ni mwezi january msimu wa ada na kufunga mahesabu ya mwaka jana , kipindi kama hiki huwa mabenki yote makubwa yana foleni na mitandao kukatika mara kwa mara, ijumaa nilitumia kutwa nzima benki ya CRDB, NBC ndio usisema !!!Mhmhhmmh hii Benki ya NMB ina kero na utendaji wake wa kaiz ni mbovu yn madirisha yapo ma5 na madirisha yanao fanya kazi ni mawili tuu na hiyo foleni yake ni mzunguko wa mistari mitano na hapo hao wawili m1 wapo ameenda kunywa chai...hii ndio faida ya NMB ni tawi la Kariakoo mtaa wa livingstone..na hapo hapo kn tawi mtaa wa Congo near Big Bon tokea mwaka jana hadi leo halijafunguliwa
Nikawaida tukokana leo shule nyingi zimefunguliw wazazi na wanafunzi wanawema fedha nilazima ziwe ivyo! Ila clock tower(ARUSHA) saizi hapafai shule nyingi wanamasharti eti kalipe michango ya shule tawi flani tu! Sasa sijui kua ukilipia tawi lingine ela hafiki au sijui ni nini?
Ndio maana inaitwa Benki ya Makabwela...
Kabwela huwa hana haraka na wao wanajua wateja wao ni makabwela so wanawahudumia taaaratiiibu. Kama unaharaka nenda Bank za wazungu, Standard Chattered, Baclays et al.
Wanaiita BANK, naiIta SACCOS.