Mkuu unapata tabu bure, huyu ni CHAWA wa mama wale aliowataja juzi Kila kitu ni kusifia tu. Hajui kitu kuhusu uchumi ana ushahidi wa kuokoteza tu. Fatilia threads zake utanielewa, usitumie nguvu nyingi kumuelewesha yupo kazini (kazi ya uchawa).Kila siku huwa nakwambia we jamaa ni kilaza kweli huwa hujui ata source ya hizo data zako nor how do people derive to them.
Source ya hizo data ni NSB na ni average ya CPI market basket (nini kimo ndani ya market basket serikali ndio inaamua). Sasa wewe ata ukiwekea original source uwezi tambua halafu unadai umesoma uchumi.
View attachment 2483722
Angalia hapo walipo highlight na Total all item index mwisho utaona 4.8 hiyo ndio inflation rate na wote wanaitoa hapo including hizo nakala zako ni average ya components bidhaa kadhaa.
Food and non alcoholic beverages ni 9.7 (sasa ni bidhaa gani wameweka?), it’s easy to fool hata hao WB wakiamua, lakini kwenye makusanyo; malipo ya madeni ndio msema kweli na hali ni tete.
Hadithi ndefu kukuelezea components zipi kama ata basic understanding ya vitu unavyotupigia kelele huna.