Benki ya CRDB yamtangaza Abdulmajid Musa Nsekela kuwa Mkurugenzi mpya (MD)

Benki ya hovyo kivipi? NMB kama haiongozi kwa faida ni ya pili nyuma ya CRDB.
Ni mahaba tu maana benki kubwa nchini ni crdb na nmb inakuaje huna facts unasema benki hii ni ya ovyo na hizo bank m na twiga nk zilizofungiwa utasemaje kama si ulimbukeni na umbumbu wako tu
 
Services to the customer ni ya hovyo! Hovyo kabisa! Faida wanapata kwa vile serikali imewalazimisha watumishi wote kupokea mishahara huko! Fedha za serikali ziko huko, siyo kuwa wanatafuta wateja na kuwavutia kwenda huko, never!
Wewe hujui ila unajifanya unajua kwa sasa hakuna benk ya kibiashara yenye pesa za serikali zaid ya Bot yenyewe ndio maana twiga,bank m zinakufa kwa kukosa mitaji
 
Wewe hujui ila unajifanya unajua kwa sasa hakuna benk ya kibiashara yenye pesa za serikali zaid ya Bot yenyewe ndio maana twiga,bank m zinakufa kwa kukosa mitaji
nadhani wewe ndiye huji, kama unajua unajua kidogo! Mishara ya watumishi inapokelewa BOT?
 
1538455157832.png
1538455201228.png
1538455215554.png
 
Back
Top Bottom