Benki nzuri ni ipi kwa mteja wa kawaida?

Apparatus

Member
Dec 16, 2016
95
94
Kwa wale wanaozijua benki vizuri ni benki gani ambayo mtanzania wa kawaida anaweza weka akiba ya japo laki mbili kwa mwezi alafu akanufaika kwa muda mfupi. Pia kama kuna njia mbadala naomba msaada tafadhali.
 
NIELEZEE UNAFAIDIKA KIVIPI NA MIE NIAZE KUHIFADHI PESA ZANGU HUKO
equity bank kujiunga ni elfu kumi tu halafu hamna makato kwa mwez na hamna cha kias kidogo ama kikubwa cha kuweka chochote utachokua nacho equity wapo vizur sana
 
equity bank kujiunga ni elfu kumi tu halafu hamna makato kwa mwez na hamna cha kias kidogo ama kikubwa cha kuweka chochote utachokua nacho equity wapo vizur sana
nikajua ni kama zamani posta pesa yako ikikaa kule unapata faida instead ya siku hizi ukiweka wanakukata huku kwenye ,abenki
 
Back
Top Bottom