Benki inaungua

Hata wale wanaija huanzaga ivi ivi, ukiingia king, utaskia, baba yangu alifariki kwa vita, kaniachia dola laki 9, na mimi niko kambi ya wakimbizi, nitumie dola milion 2, nihonge askari, ili nikitoka tugawane dola laki 9.

Hahahaa. Mkuu haiko kihivyo. Hao wanaija ni matapeli tu Mimi ninamishemishe zinanisongesha.
 
Usitumie ATM za mjini!, uwe unatolea ATM ya Mlimani City, ukimaliza unapitia Sama Samaki kucheki samples tuu, ukiishaona ile kitu roho inapenda, weka kumbukumbu, then nenda Corner Bar!, usiingie Ambiance huko nako zitaungua, poa tuu hapo nje, mida mida ikipita, utaziona real goods kama zile samples, huko ukitoboaka sana basi ni 20 tuu!. Hivyo kuunguza 100,000 ni five heads!, kuunguza milioni ni vichwa 50!, kama mwaka una wiki 52!, kichwa wiki!, is not bad!. Kutumia 1.M kujipa raha kwa mwaka mzima, kwangu ni justified!, ila hala hala usidate!, sio tuu benki ndio itaungua, wewe mwenyewe utateketea!.
Pasco
 
Wakati unawaza ufanye nn weka kiasi fulani fixed deposit ac maana wakati tunaendelea kukupa ushauri naona zinapungua tna zishafika 95 m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…