Wapalestina madai Yao ni yapi mpaka wakafikia Hatua hiyo?Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alihutubia ulimwengu kwa ujumbe mzito: "Ungefanya nini ikiwa magaidi wangewaua na kuwateka nyara watoto wako? Ungefanya kile tunachofanya." Alisisitiza tena kwamba Hamas inawajibika pekee kwa vita vinavyoendelea.
View attachment 3275754
Kwaio madai yao ndio waue watu? Na kuteka watu hizo Dini zenu Za kufundisha kuua watu ovyo ovyoo Bora urudi kwenye Mila na desturi zenu za mababu zenuWapalestina madai Yao ni yapi mpaka wakafikia Hatua hiyo?
Magaidi wa Hamas walikosea sana kufanya shambulizi la Oct 07,2023 hawakufanya uchambuzi yakinifu kujua yatakayojiri baada ya kuchezea Korodani za Simba!! Hawakupaswa kabisa lakini kwa Imani ya dini yao waliaminishwa kuwa Mnyazi-mungu wao atawasaidia kuiangamiza Israel cha ajabu na yeye alishindwa na kuwaacha wapalestina wakichezea kipigo cha Mbwa-koko.Hamas imefika hatua hawajui nini la kufanya maana wakiachia mateka wote bado watapigwa na wakiendelea kuwashikilia bado kichapo kitaendelea
Hahahaha 😂😂😂😂🤣😂Wapigwe tu