... ni komandoo la hatari; endelea kujishaua!Huyu mbaba huwaga handsome sana
sasa nawewe mtt wa kiume hujaona vitu vyakumsifia zaidi ya sauti yake nzito kwan wewe yako nilaini ama??Umri wake mkubwa ila hazeeki. Kaka yake ndio alikuwa bonge la komandoo akafia Entebbe akiongoza operesheni ya kuokoa mateka Waisrael waliozuiwa na Iddi Amin.
Sijasikia kiongozi mwenye sauti nzito kama huyu, anafatiwa na Felix wa DRC kwa nilosikia. Wana sauti nzito sana
... bila miamba kama hii Israel "ingeshafutwa" kwenye uso wa dunia.Kubwa la magaidi
Unampenda nimfahamishe?Huyu mbaba huwaga handsome sana
Hawa jamaa ni makini,hawajakubali kupoteza asili yao,pamoja na misukosuko yote waliyopata toka enzi na enzi!Wamarekani wengi weupe asili yao ni wa Islael; ila hakuna uhakika kama wa-Islael waliotajwa kwenye Biblia kama taifa teule la Mungu ndiyo hawa ama lah.
... ni komandoo la hatari; endelea kujishaua!
Ayatollah, ukute ni bingwa katika uhifadhiiiWeka Profile ya Ayotollah Khamenei hapa!
Israel bila akili za kigaidi na kijasusi, ingeshafutiliwa mbali na Arabs . Maanake kwa Arabs Israel ni shetani kwao .Kubwa la magaidi