pepim
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 335
- 52
"Nakupongeza Mourinho kwa kuwa msimu huu umeipiga Barcelona, lakini umechekesha kitendo cha kunyang'anywa ubingwa ukiwa nyuma kwa point 10. Umeweka rekodi kwa kugombana na Iker Casillas ambaye hata Osama Bin Laden asingekorofishana naye, juzi umezua mpya kwani umefungwa kwenye fainali ya kombe la mfalme, wwe vipi? Kwa upande wangu nimemfunga Alex Ferguson mpaka akatangaza kustaafu, nimepata ubingwa Europa, msimu wa kwanza tu Chelsea. Mashabiki awali walinizomea sasa wananiita sweet"..............Source mwana Spoti la leo