unajua mnakera sana mnaojifanya na kutamani kila mtu awe mchambuzi wa mpira,,,,,,! wapo ambao wako bize na kazi zao wanachojua ni muda gani game wanaenda kushangalia timu yao,,,,,sasa basi nyie vielele[mtu kaona mpira alafu umwadisia haipendezi mnaudhai sana! usidhani wengine hatujui tunanyamaza kumshika hekima! QUOTE=Mourinho;6359469]Unazi uko wapi hapo au unakurupuka tu kujibu ambacho hujaulizwa?
Nilikua nashangaa how comes the so called "blues fans" hawajui details ndogo kama hizo about their own team? Sasa na wewe badala ya kuwasaidia maoyaoya wenzako hao unaishia kukurupuka kama umekurupushwa usingizini.
Ona sasa umemwaga uharo hadharani!!!!
By the way sio toles it's Torres.
Jifunze kushirikisha ubongo, acha masaburi yafanye kazi yake![/QUOTE]