Mag...What a change, jukwaa hili la historia lilihitaji kweli a breath of fresh air, tuweze kuondokana na uvundo uliotanda wa ngano za Mohamed Said akiwalilia wazee wake wa Gerezani kila kukicha. Asante sana bagamoyo.
Bonyeza hapa...
Mzee Frank Humplick Mtanzania, ndiye mtunzi wa nyimbo kama Kolokolola, Simba wa Bara, Tufurahi kwani leo harusi, (wimbo uliorekodiwa baadae na Afro70 na pia Mombasa Roots) na nyimbo nyingi sana ambazo bado zinapigwa na bendi nyingi hapa Afrika ya Mashariki.
Mzee Humplick wakati wa mkoloni aliwahi kutunga wimbo uliyokuja kupigwa marufuku na santuri za wimbo huu kusakwa nyumba hadi nyumba ili kusibakie hata nakala ya wimbo huo? Maneno ya wimbo huo yalisema hivi:
Uganda nayo iende
Tanganyika ikichangaruka, Kenya na Nyasa zitaumana
Nasikia fununu wanavyoichanachana China, Kitisho!
I am a democrat, I don't want communism, English, Yes, No I don't know, Kizungu sikijui
Wanyika msishindane na Watanganyika
Wimbo huo ukaanza kutumika kabla ya mikutano ya Mwalimu Nyerere na kuanza kuwa maarufu kama wimbo wa kudai uhuru, wakoloni haraka sana wakaona wimbo huu utaweza kusababisha vurugu kama ambazo zilikuwa zinaendelea Kenya chini ya Maumau.
Serikali ikaupiga marufuku na kuanza kuusaka nyumba hadi nyumba!
Kati ya mwanamuziki Mtanzania ambae historia haijamtendewa haki kutokana na kutothaminiwa kwa kazi zake ni marehemu Mzee Frank Humplick. Mzee Humplick ameishi kwa miaka mingi ya mwisho wa maisha yake Lushoto.
Mzee huyu akiwa na dada zake wawili walitikisa anga za muziki wa Afrika ya Mashariki, na bado wanaendelea kufanya hivyo japo hawatambuliwi kabisa.
Kundi lao lililoitwa Frank na dada zake waliuletea ulimwengu nyimbo nyingi ambazo mbaya zaidi mara nyingi nyimbo hizo zimekuwa zikitambulishwa kama nyimbo za mwanamuziki mwingine kutoka Kenya marehemu Fundi Konde.
Wewe ni kama maji anayekutaa atarudi mwenyeweMag...
Frank Humplink alikuwa baba na rafiki yangu.
Alipofariki nilimwandikia taazia iliyochapwa katika The East African.
Picha nyingi unazoziona katika mitandao mimi ndiye ''source.''
Hii taazia ni ndefu sana siwezi kuiweka yote hapa lakini kama ulivyosema unahitaji kupumzika na ''shari'' yangu.
Bahati mbaya sikupi nafasi ya kupumzika utanisoma:
''Frank Humplick did not compose bubble gum music which seems to be the norm of the present generation of musicians, music that lasts as long as the taste of the chewing gum.
Frank Humplicks compositions are all time classics defying time possessing the ability to store its melody and lyrics in ones memory to eternity.''
''Growing up in Moshi and attending Majengo Middle School in early 1960s as a young boy I used to see young Frank Humplick riding his motor bike with a guitar strapped on the back seat.
Our school gate overlooked his mothers house across the road.
The house still stands today.
Whenever we saw Frank in town riding his motor bike me and my friends used to shout his name.
He was a popular figure with us boys as well as girls not because he was the pop star of the day but also because he had certain songs which appealed to us as kids.
There was a song Kwenye Kabati Kuna Nyoka (There is a Snake in the Cupboard) which was very popular with us because it was satiric depicting Frank as a school teacher teaching English to students who found it difficult to grasp the real meaning of English vocabulary.''
''It was by mere chance that my interest on Frank Humplick was kindled.
In mid 1990s Ally Sykes entrepreneur, veteran politician, founder member of TANU and one Nyereres right hand men during the struggle for Tanganyikas independence was writing his memoirs and I was assisting him.
We had a series of sessions and when we reached how he met Peter Colmore in Nairobi after being discharged from the Kings African Rifles (KAR) at the end of World War Two in 1945 Ally Sykes told me that in his views he thought the most appropriate person to for me to talk to about that period was his friend and business partner of many years Peter Colmore.
There and then Ally Sykes called Colmore in Nairobi and it was arranged that I travel to Nairobi to talk to him.
I interviewed Colmore at his Muthaiga residence and had the chance to see his photo archive comprising of photos of musicians he had promoted.
Frank Humplick's photograph was among those many photos I saw.
Colmore told me that he was the one who introduced Frank Humplink's music to the East African audience in 1952.''
Frank Humplink (1927 - 2007) The Pioneer of East African Sound
THE PIONEER OF THE EAST AFRICAN SOUND Franz Yosef Humplick 1927 2007 Frank Humplick with his guitar at his residence in Lushoto 2005 Frank Humplink in His Hey Days in Nairobi Very few people are aware of the passing away of Frank Humplick the gifted singer, guitarist and prolific composer...www.jamiiforums.com
View attachment 2171629
T14...Wewe ni kama maji anayekutaa atarudi mwenyewe
Ha ha haa...hivi nawe ni moja katika mapoyoyo yanayomeza ngano za huyu limbukeni. Kisichonishangaza sana ni ukweli kuwa debe tupu haliachi kutiku. Tatizo lilianzia kwa vijana wa kizulu walioletwa na Wajerumani kulowea Tanganyika na kuwatwaa mabinti wa kimanyema...Wewe ni kama maji anayekutaa atarudi mwenyewe
Mag3,Ha ha haa...hivi nawe ni moja katika mapoyoyo yanayomeza ngano za huyu limbukeni. Kisichonishangaza sana ni ukweli kuwa debe tupu haliachi kutiku. Tatizo lilianzia kwa vijana wa kizulu walioletwa na Wajerumani kulowea Tanganyika na kuwatwaa mabinti wa kimanyema...
Wivu wa nini kijana kuhus Mohammed Said, si utunge stori zako na wewe? Utapata pressure bure!!!What a change, jukwaa hili la historia lilihitaji kweli a breath of fresh air, tuweze kuondokana na uvundo uliotanda wa ngano za @Mohamed Said akiwalilia wazee wake wa Gerezani kila kukicha. Asante sana @bagamoyo.
Biti...Wivu wa nini kijana kuhus Mohammed Said, si utunge stori zako na wewe? Utapata pressure bure!!!