LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,223 Mar 16, 2012 #1 Wadau naomba kujuzwa ni wapi naweza pata bendera za CDM kama tano hivi zile kubwa tunataka kufunga kwenye vijitawi vyetu kwani bendera za magamba zinatukera sanaaaaa. Bendera hizo ni kwaajiri ya mwenge,mpakan na salasala. Msaada wenu wakuu
Wadau naomba kujuzwa ni wapi naweza pata bendera za CDM kama tano hivi zile kubwa tunataka kufunga kwenye vijitawi vyetu kwani bendera za magamba zinatukera sanaaaaa. Bendera hizo ni kwaajiri ya mwenge,mpakan na salasala. Msaada wenu wakuu