Kuna kilaza m1 wa ccm ameweka bendera kwenye miti yote ya mji wa moshi ukienda kwenye nyumba za uswali zote ameweka picha mpaka anatia huruma sna, nasikia anampango wa kutandika kitamba cha kijani kweny barabara zote za lami mjini moshi.
Hapa kazi tu