Mbona kuna abuse of power hapo? au walikuwa wanafanya nini? Sijawai kuona Mke wa rais anapokea heshima ya nchni kama mamlaka ya dola, maana wamekaa kama wanapokea heshima ya Jeshi kwaniaba ya dola la Tanzania!