technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,557 Reaction score 57,857 Mar 7, 2024 #1 Kocha mkuu wa simba hayupo nchini toka jana baada ya game ya prison inasemekana kaenda kwao Inasemekana kashindwa kuingia kwenye mfumo wa chama.
Kocha mkuu wa simba hayupo nchini toka jana baada ya game ya prison inasemekana kaenda kwao Inasemekana kashindwa kuingia kwenye mfumo wa chama.
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,895 Reaction score 31,139 Mar 7, 2024 #3 Kwahio?๐ค๐
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Mar 7, 2024 #4 Rumors
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 10,348 Reaction score 23,437 Mar 7, 2024 #5 Kwenda kwao ndio kutoweka?
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 19,781 Reaction score 41,878 Mar 7, 2024 #6 Chama si yupo?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,057 Reaction score 69,476 Mar 7, 2024 #7 Sawa Sawa
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,748 Reaction score 28,140 Mar 7, 2024 #8 Kocha chama si yupo?
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,944 Reaction score 43,358 Mar 7, 2024 #9 Chama yupo?
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Mar 7, 2024 #10 Uto mna shida sana.
Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Mar 7, 2024 #11 Tunae Chama
OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 5,139 Reaction score 12,882 Mar 7, 2024 #12 Mkuu technically umezitoa wapi hizi habari.
Exy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 4,381 Reaction score 7,448 Mar 7, 2024 #13 Huyo n suala la muda tu... Hana kitu chochote Cha ziada... Timu inashinda kwa uwezo wa Chama Wala sio mbinu zake.... Ni Mara 100 na mgunda kuliko madevu... Kocha anatumia kaul za kibabe kwa wachezaji ili wafanye vizuri badala ya mbinu?.๐คฃ๐คฃ
Huyo n suala la muda tu... Hana kitu chochote Cha ziada... Timu inashinda kwa uwezo wa Chama Wala sio mbinu zake.... Ni Mara 100 na mgunda kuliko madevu... Kocha anatumia kaul za kibabe kwa wachezaji ili wafanye vizuri badala ya mbinu?.๐คฃ๐คฃ
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,109 Reaction score 1,249,104 Mar 7, 2024 #14 Duh aiseee
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 10,388 Reaction score 17,097 Mar 7, 2024 #15 Chamaaa?
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 10,348 Reaction score 23,437 Mar 7, 2024 #16 Kaenda course ya siku tano
Mwambwaro JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,408 Reaction score 3,654 Mar 7, 2024 #17 Kaenda koz Algeria
Mpigania uhuru wa pili JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 3,453 Reaction score 6,494 Mar 7, 2024 #18 Kamkimbia chama
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,154 Reaction score 162,570 Mar 7, 2024 #19 Msemaji wao anadai kaenda kwao Algeria kuhuhudhuria kozi ya siku tano na siku ya Sita atakuwa amerudi nchini. Wacha tusubiri muda utaongea.
Msemaji wao anadai kaenda kwao Algeria kuhuhudhuria kozi ya siku tano na siku ya Sita atakuwa amerudi nchini. Wacha tusubiri muda utaongea.
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,972 Reaction score 22,922 Mar 7, 2024 #20 technically said: Kocha mkuu wa simba hayupo nchini toka jana baada ya game ya prison inasemekana kaenda kwao Inasemekana kashindwa kuingia kwenye mfumo wa chama. Click to expand... Hivi kumbe hata ๐ธ๐ธhuwa wanahangaika hivi wanapotaka kutaga ๐๐ Mnahangaika tu na kupoteza nishati kila saa Simba, mkienda kulipa madeni Simba, mkikosa hela ya kula Simba ๐๐. Mngejua Simba hula kwa kuwinda mngeenda kusaka hela mtunze majaruba yenu vyura wahed.
technically said: Kocha mkuu wa simba hayupo nchini toka jana baada ya game ya prison inasemekana kaenda kwao Inasemekana kashindwa kuingia kwenye mfumo wa chama. Click to expand... Hivi kumbe hata ๐ธ๐ธhuwa wanahangaika hivi wanapotaka kutaga ๐๐ Mnahangaika tu na kupoteza nishati kila saa Simba, mkienda kulipa madeni Simba, mkikosa hela ya kula Simba ๐๐. Mngejua Simba hula kwa kuwinda mngeenda kusaka hela mtunze majaruba yenu vyura wahed.