Hizi mechi za viungo kama wa Yanga haitakiwi kumtumia Chama kama kiungo. Bora acheze kama mshambuliaji. Ukiangalia vizuri Simba imecheza vile vile muda mrefu bila mabadiliko ya kimbinu.Yote tisa
Ila pia wakati mwingine chama awe na maamuzi ya haraka
Siyo kupoozesha wakati watu walishatengeneza nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote tisa
Ila pia wakati mwingine chama awe na maamuzi ya haraka
Siyo kupoozesha wakati watu walishatengeneza nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee mmeandika kile kipo mawazoni mwangu. Hakuna game plan kabisa. Na Chama kweli hii hulka anayo toka zamani. Anaweza kuua move nzuri iiyokwisha anzishwaHizi mechi za viungo kama wa Yanga haitakiwi kumtumia Chama kama kiungo. Bora acheze kama mshambuliaji. Ukiangalia vizuri Simba imecheza vile vile muda mrefu bila mabadiliko ya kimbinu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dakika 10 za mwanzo zilipaswa kubadili mbinu kabisa! Tumefungwa na benchi la ufundi la Yanga! Hata tukirudiana kesho tutafungwa tu! Huoni Simba ikibadilika kulingana na mchezo.Wazee mmeandika kile kipo mawazoni mwangu. Hakuna game plan kabisa. Na Chama kweli hii hulka anayo toka zamani. Anaweza kuua move nzuri iiyokwisha anzishwa
Kabisa! Kabisa! Kazi tunayo bado kimataifa. Ukichanganya na defence line ilivyo tepe basi kazi tupu.Dakika 10 za mwanzo zilipaswa kubadili mbinu kabisa! Tumefungwa na benchi la ufundi la Yanga! Hata tukirudiana kesho tutafungwa tu! Huoni Simba ikibadilika kulingana na mchezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kocha kwa Patrick ni underdog ....hana mbinu kabisa .Naunga mkono hoja 100%.
Dilunga, Kanda walitakiwa kuanza mapema kabisa, then either Boko au Kagere mmoja aanzie benchi plus Kahata. Game tungeimaliza mapema sana.
Kocha wa Simba bado mchanga, ila simlaumu kwa ile CV yake, hao viongozi waliompa kazi sijui waliona nini kwake, na nikikumbuka walimuacha Aussems uuuh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wanajitoa sana lakini hawana maelekezo sahihiSimba wamrudishe Uchebe, huyu kocha sijawahi kumkubali, Pili Matola yuko vzuri akiwa head coach sio chini ya MTU, zaidi ya hapo atakuacha uharibu au atumie mbinu ili ukitoka apewe nafasi ya kuonyesha uwezo wake, na kwa mechi ya Leo kafanikiwa hasa,wampe tu timu tu kwa muda, huyu aliiweza Yanga akiwa Lipuli hawezi shindwa akiwa Simba, huu ndo ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi kwenda kimataifa na hii defence tuliyonayo, ujue sometimes as a good coach, anaweza badili mfumo ili kuongeza ufanisi kwenye defence, nakumbuka Aussems alikuwa akiona timu imeruhusu magoli ya kizembe next game anabadili mfumo, kama game ya kwanza tulicheza 4-3-3, game inayokuja ataenda 4-1-2-3, hii ilikuwa inasaidia kuongeza nguvu ya defence.Kabisa! Kabisa! Kazi tunayo bado kimataifa. Ukichanganya na defence line ilivyo tepe basi kazi tupu.
Matola Hana leseni ya kua kocha mkuu..Simba wamrudishe Uchebe, huyu kocha sijawahi kumkubali, Pili Matola yuko vzuri akiwa head coach sio chini ya MTU, zaidi ya hapo atakuacha uharibu au atumie mbinu ili ukitoka apewe nafasi ya kuonyesha uwezo wake, na kwa mechi ya Leo kafanikiwa hasa,wampe tu timu tu kwa muda, huyu aliiweza Yanga akiwa Lipuli hawezi shindwa akiwa Simba, huu ndo ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wametimiza majukumu yao ila waliokuwa nje wameshindwa kuchange game plan kwa wakati! Plan ya Kanda na Dilunga was too late!
Hatuwezi kwenda kimataifa na hii defence tuliyonayo, ujue sometimes as a good coach, anaweza badili mfumo ili kuongeza ufanisi kwenye defence, nakumbuka Aussems alikuwa akiona timu imeruhusu magoli ya kizembe next game anabadili mfumo, kama game ya kwanza tulicheza 4-3-3, game inayokuja ataenda 4-1-2-3, hii ilikuwa inasaidia kuongeza nguvu ya defence.
But huyu kocha wa sasa anarudia mfumo huo huo kila mechi licha ya kuruhusu magoli, mfano mechi ya Azam ilikuwa tupigwe kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app