Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 Jul 15, 2020 #121 Shadeeya said: Hahahaaa. Walahi vile umefanya nimecheka. Lol Click to expand... Hii hapa post ya Kiongozi wa Yanga JF, Yanga lia lia namba moja JF ikiandika hivyo. Shadeeya said: Hakika Mkuu atatusaidia. Nimejikuta nawakumbuka wale waliokuwa wanasema tumesajili mwizi. Kwa uchezaji ule hata kama alikuwa potelea pwete. ππ Click to expand...
Shadeeya said: Hahahaaa. Walahi vile umefanya nimecheka. Lol Click to expand... Hii hapa post ya Kiongozi wa Yanga JF, Yanga lia lia namba moja JF ikiandika hivyo. Shadeeya said: Hakika Mkuu atatusaidia. Nimejikuta nawakumbuka wale waliokuwa wanasema tumesajili mwizi. Kwa uchezaji ule hata kama alikuwa potelea pwete. ππ Click to expand...
NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 1,180 Reaction score 598 Jul 15, 2020 #122 Chikwuemeka said: View attachment 1336200 Shiboub + Chama + Ajib + Dilunga + Kagere = Morrison. NOTE : Kagere awe na hirizi. Click to expand... Juzi kapandwa yeye halafu akaenda kuwapanda waajiri wakee....
Chikwuemeka said: View attachment 1336200 Shiboub + Chama + Ajib + Dilunga + Kagere = Morrison. NOTE : Kagere awe na hirizi. Click to expand... Juzi kapandwa yeye halafu akaenda kuwapanda waajiri wakee....
N njaakalihatari JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 4,081 Reaction score 8,675 Jul 15, 2020 #123 kumbe bana waganga waliosaidia tarehe 8 kwa utopolo wamechuliwa na watia nia wa ubunge na U Rais ,utopolo wakashindwa la kufanya
kumbe bana waganga waliosaidia tarehe 8 kwa utopolo wamechuliwa na watia nia wa ubunge na U Rais ,utopolo wakashindwa la kufanya
NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 1,180 Reaction score 598 Jul 15, 2020 #124 rodrick alexander said: Watakukumbuka usemi wako Click to expand... Walishakumbuka baada ya kupandwa kichwani...
rodrick alexander said: Watakukumbuka usemi wako Click to expand... Walishakumbuka baada ya kupandwa kichwani...
NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 1,180 Reaction score 598 Jul 15, 2020 #125 Platnam said: Nani kafukua hili kaburi? Mzoga unanuka huu. Click to expand... Tulihifadhi mwili kwa kutumia mercuric chloride...
Platnam said: Nani kafukua hili kaburi? Mzoga unanuka huu. Click to expand... Tulihifadhi mwili kwa kutumia mercuric chloride...
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,123 Reaction score 122,558 Jul 15, 2020 #126 Don Clericuzio said: Hii hapa post ya Kiongozi wa Yanga JF, Yanga lia lia namba moja JF ikiandika hivyo. Click to expand... Acheni hizi mambo za kufukua makaburi basi na nyie Mtani. Aaah!!
Don Clericuzio said: Hii hapa post ya Kiongozi wa Yanga JF, Yanga lia lia namba moja JF ikiandika hivyo. Click to expand... Acheni hizi mambo za kufukua makaburi basi na nyie Mtani. Aaah!!
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 Jul 15, 2020 #127 Shadeeya said: Acheni hizi mambo za kufukua makaburi basi na nyie Mtani. Aaah!! Click to expand... Nimeacha Mtani, nasikia sasa hivi ni mchezaji huru.
Shadeeya said: Acheni hizi mambo za kufukua makaburi basi na nyie Mtani. Aaah!! Click to expand... Nimeacha Mtani, nasikia sasa hivi ni mchezaji huru.
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 17,275 Reaction score 24,131 Jul 15, 2020 #128 Shadeeya said: We naaae!! π Click to expand... Hapana kabla ya mechi ya simba na yanga alikuwa anajifanya simba kumbe huku kwenye nyuzi nyingine nimemkuta yanga lialia ndio nikawa nampa ukweli wake
Shadeeya said: We naaae!! π Click to expand... Hapana kabla ya mechi ya simba na yanga alikuwa anajifanya simba kumbe huku kwenye nyuzi nyingine nimemkuta yanga lialia ndio nikawa nampa ukweli wake
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 5,728 Reaction score 7,687 Jul 16, 2020 #129 Morisson kwanza aliupanda mpira. Kisha akaipanda Yanga na mwisho akaishia kupanda bodaboda kwa spidi ya 4G.
Morisson kwanza aliupanda mpira. Kisha akaipanda Yanga na mwisho akaishia kupanda bodaboda kwa spidi ya 4G.
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,556 Jul 17, 2020 Thread starter #130 Tui said: Morisson kwanza aliupanda mpira. Kisha akaipanda Yanga na mwisho akaishia kupanda bodaboda kwa spidi ya 4G. Click to expand... Zote fitina za simba hizo hilo linajulikana
Tui said: Morisson kwanza aliupanda mpira. Kisha akaipanda Yanga na mwisho akaishia kupanda bodaboda kwa spidi ya 4G. Click to expand... Zote fitina za simba hizo hilo linajulikana
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 5,728 Reaction score 7,687 Jul 17, 2020 #131 Bingwa wa visingizio. Kungekuwa na Oscar ya visingizio basi wao ndio mabingwa bila kipingamizi.Wajibikeni. Mnashindwa kuwa handle wachezaji wenu mnawatupia lawama Simba ambayo ndio njia rahisi.Weka ushahidi Simba inahusika. Wacha UZUSHI.
Bingwa wa visingizio. Kungekuwa na Oscar ya visingizio basi wao ndio mabingwa bila kipingamizi.Wajibikeni. Mnashindwa kuwa handle wachezaji wenu mnawatupia lawama Simba ambayo ndio njia rahisi.Weka ushahidi Simba inahusika. Wacha UZUSHI.