Maisha ndivyo yalivyo,wakati unadhani kuwa unapata relief kwa kuua upinzani wa nje kumbe at the same time unauimarisha ule wa ndani na huo ndio mbaya sana kwani kuna uwezekano mkubwa kuwa hata baadhi ya watu wa karibu unaowaamini sana kumbe nao ni wapinzani wako ila mwenyewe hujui.Ndio maana wajuzi wamesema huwezi kuumaliza upinzani wakati hata Mungu mwenyewe ana mpinzani/wapinzani.