incorruptible
Member
- Apr 19, 2014
- 62
- 46
Hayo yalisemwa na Benard Membe,Waziri wa mambo ya nje alipopewa nafasi ya kuongea kwenye maadhimisho ya nane nane nchini yaliyofanyika Lindi ambapo Dkt.Magufuli alikuwepo kama ualikwa kwa kuwa alikuwa pia Lindi kwenye ufunguzi wa barabara ya Ndundu kwenda Somanga iliyofunguliwa na raisi Kikwete.
Membe alisema ,Magufuli amekuwa akimsifia rais kwa kazi nzuri ya ujenzi wa barabara lakini sifa hizo ni zake yeye (Magufuli) endelea...
Membe alisema ,Magufuli amekuwa akimsifia rais kwa kazi nzuri ya ujenzi wa barabara lakini sifa hizo ni zake yeye (Magufuli) endelea...
Last edited by a moderator: