Ben Saanane kimataifa

Kumzuia mtu Mmoja na kupoteza million moja ni sawa na kumruhusu majinga auze mbele ya duka yako wakt huo anauza bidha sawa yaliyomo kwenye duka lako tena kwa bei nafuu
 
Kwanini Mbowe alikaa kimya baada ya mfanyakazi wake kutoonekana.Mbowe huyo huyo akaenda zake ulaya bila hata kutoa taarifa kuwa mfanyakazi wake kapotea
 
Leo nimemuona mama yake kwa mbali ananiambia nimueleze yanayijiri sikutaka kumsogelea karibu kwakuwa sikua na majibu anayotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…