my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,384
Ben Pol bana, hayo mengine unakausha unakazana kitandani na kuhangaika kutafuta mshiko, ukiendelea kulia lia hivi utachapiwa na kupigwa chini
kweli lakini na wao wamezidi sasa mtu ana mpenzi wake unatongoza wa mwenzio ili iwe niniMuwaache wapate changamoto kidogo .zitawasiaidia kusimama
Ha ha ha wanatest zari si unajua hawajafunga ndoa badokweli lakini na wao wamezidi sasa mtu ana mpenzi wake unatongoza wa mwenzio ili iwe nini
Hili la Konde boy kuwa na pesa kuliko Anerlisa unalithibitisha vipi?Harmonize ana pesa kumzidi anerlisa hili halina ubishi sasa labda anamtaka ili aoshe rungu tu ama ni kiki inatengenezwa harmonize na Ben paul ni washikaji sanaaaa.
Alafu khaligraphy jones sizani kama anaweza fanya hivyo hii nahisi ni kiki.
Ila huyu andunje shetta nina mashaka nae anaweza kuwa kamtaka kweli
BTW Ben paul kapotea kwenye game hakuna anaemzungumzia hana lolote sasa hivi hii nahisi ni KIKI
Huyu anaropoka tu achana naeHili la Konde boy kuwa na pesa kuliko Anerlisa unalithibitisha vipi?
Anerlisa anatoka katika familia ya kibilionea ya keroche ambayo ndio yenye fedha na si yeye binafsi.Hili la Konde boy kuwa na pesa kuliko Anerlisa unalithibitisha vipi?
We jamaa ni muongo wewe, hivi unajua East Africa ni Kenya, Uganda na Tanzania.....Anerlisa anatoka katika familia ya kibilionea ya keroche ambayo ndio yenye fedha na si yeye binafsi.
harmonize ni hustler anamiliki mkwanja mrefu sana kwa sasa yani ukitaja A-list artist wa E.A kwa utajiri huwezi kumuacha harmonize kwenye top 5.
anajituma sana anafanya show hovyohovyo zinamuingizia pesa kibao na show zake ni zakukusanya vijiji.
hapa ni yeye tu.
sijaingiza utajiri wa mpenzi wake
Mkuu ulianza vizuri ila umeharibu hapo ulipoanza kukosoa uumbaji wa Mungu.We jamaa ni muongo wewe, hivi unajua East Africa ni Kenya, Uganda na Tanzania.....
Huyu mmakonde ambaye hata nyumba yake haijaisha unataka umuweke meza moja na akina Jaguar...
Alaf Harmonize naye ajiheshimu bama, hivi kwa sura ile kama andazi lililo chacha ndo anataka aingie meza moja na Ben Pol. Saiz yake ni huyohuyo Sarah wanyefanana sura