Ben Pol: Harmonize, Sheta na Caligraph Jones wanamtongoza mpenzi wangu DM

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Ben Pol amesema kwa interview kuwa Harmonize, Sheta na Caligraph Jones wana slide kwa sana kwa dm ya mchumba wake Anerlisa.

Kama kawaida yenu watanzania hampendi kuona watu wanaelewana lazima muanze tabia zenu za kichawi. Sasa kila mtu anajua Ben Pol na Anerlisa ni wapenzi tena wanapendana sana eti Harmonize, Sheta wanamtongoza Anerlisa sijui wanamuonea wivu Ben Pol maana eti Anerlisa ana pesa wivu ingine ya kijinga sana.

Sasa hivi mtu kama Harmonise ni wa kumtongoza Anerlisa? sura yenyewe mbovu bodi yake ndio kabisa haielewekagi yuko kama mtu aliepata kwashiorkor ya kwa ukubwani na huyo mwingine ana macho kama mtu anayetaka kuingizwa motoni saa zote amekodoa halafu wote ni wafupiii sijui kama vinini hebu muacheni Ben Pol na Anerlisa wake wanapendana wanapendezana wale maisha yao uchawi wenu pelekeni huko huko kwenu.

Mimi naipenda sana couple ya Ben Pol na Anerlisa hawana blah blah nyingi kama sio wa Africa vile

Ben Pol bana, hayo mengine unakausha unakazana kitandani na kuhangaika kutafuta mshiko, ukiendelea kulia lia hivi utachapiwa na kupigwa chini
IMG_20190606_205755.jpeg
 
Harmonize ana pesa kumzidi anerlisa hili halina ubishi sasa labda anamtaka ili aoshe rungu tu ama ni kiki inatengenezwa harmonize na Ben paul ni washikaji sanaaaa.

Alafu khaligraphy jones sizani kama anaweza fanya hivyo hii nahisi ni kiki.

Ila huyu andunje shetta nina mashaka nae anaweza kuwa kamtaka kweli

BTW Ben paul kapotea kwenye game hakuna anaemzungumzia hana lolote sasa hivi hii nahisi ni KIKI
 
Hili la Konde boy kuwa na pesa kuliko Anerlisa unalithibitisha vipi?
 
Hili la Konde boy kuwa na pesa kuliko Anerlisa unalithibitisha vipi?
Anerlisa anatoka katika familia ya kibilionea ya keroche ambayo ndio yenye fedha na si yeye binafsi.

harmonize ni hustler anamiliki mkwanja mrefu sana kwa sasa yani ukitaja A-list artist wa E.A kwa utajiri huwezi kumuacha harmonize kwenye top 5.
anajituma sana anafanya show hovyohovyo zinamuingizia pesa kibao na show zake ni zakukusanya vijiji.
hapa ni yeye tu.
sijaingiza utajiri wa mpenzi wake
 
We jamaa ni muongo wewe, hivi unajua East Africa ni Kenya, Uganda na Tanzania.....

Huyu mmakonde ambaye hata nyumba yake haijaisha unataka umuweke meza moja na akina Jaguar...

Alaf Harmonize naye ajiheshimu bama, hivi kwa sura ile kama andazi lililo chacha ndo anataka aingie meza moja na Ben Pol. Saiz yake ni huyohuyo Sarah wanyefanana sura
 
Mkuu ulianza vizuri ila umeharibu hapo ulipoanza kukosoa uumbaji wa Mungu.
Halafu watoto wa kike siku hizi sura sio sana ndio maana sitashangaa kusikia huyo Harmo kutoka na huyo bidada kwa kuwa (Harmo) ana fame na sio haba hela ya kula na starehe nyingine ipo kidogo.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom