Ben Pol: Hali ya uchumi imekuwa mbaya sana, hatupati show, mapromota wamekimbia

Pole sana, show kubwa inakuja 2020, jiandae kuimba huku ukiwa na shati la njano, suruali njano, na mic ya kijani
 
hapo ndipo wataona tofauti yao na bwana Simba.
ahamie WCB
ndio atajua kwanini rick mavoko aliusoma upepo mapema.
 
Acha ujinga Ben pol nyie ndo mlisaidia complain za ccm msiende huko mkaombe msaaada . Hypocricy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom