Kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba huyo mama aliyekataa kutoa certificate alijihuzuru mara moja hakung'ang'ania ofisi,
La pili hapo kwa Mkuu wa Wilaya Tz haiwezi kuleta mkanganyiko kwa sababu sheria ya Ndoa inatambua yule mke wa kwanza
Kim Davis hajajiuzulu Bado anashikilia nafasi yake kama county clerk ila amesema hatojihusisha na utoaji marriage certificate na badala yake deputy clerk atafanya Kazi hiyo.