Kwa mechi ya jana Fraga hakuwa Fiti. Ndo kwanza alirejea toka kwao.
Wawa naye karejea toka kwao kuoa mke wa pili.
Miqueson naye jana hakuwa Fiti, ndo kwanza katoka kwao kuoa mke wa kwanza, alilazimisha tu kucheza.
Morrison hakuwa kwenye game na mabeki walimkamia sana.
Ukweli jana wachezaji walicheza katika kiwango Cha chini.