Beki wa SC Villa ya Uganda atua kwa mabingwa wa nchi Yanga

Soloma TV Online

Senior Member
Jun 26, 2023
104
291
Beki Kisiki Gift Fred kutoka Villa ya Uganda atua kwa Mabingwa wa nchi na wenye Historia yao Yanga. Hii inawafanya wazidi kuujenga ukuta wa Berlin wakati majirani wao wakiujenga ule wa Jeriko.

Ligi Kuu ya NBC msimu ujao inakwenda kunoga sana hebu fikiria kwa kina hapa YANGA kule AZAM na pembeni SIMBA unafikiri nani atakuwa mwiba mchungu?
 
Itakuwa jambo la heri kama Doumbia atapewa mkono wa kwa heri. Maana ni ukweli ulio wazi, anakabia macho na hana kasi.
 
Tumemuona..ni huyo anayepiga header golini kwake..kazi kweli kweli
 
Beki Kisiki Gift Fred kutoka Villa ya Uganda atua kwa Mabingwa wa nchi na wenye Historia yao Yanga. Hii inawafanya wazidi kuujenga ukuta wa Berlin wakati majirani wao wakiujenga ule wa Jeriko.

Ligi Kuu ya NBC msimu ujao inakwenda kunoga sana hebu fikiria kwa kina hapa YANGA kule AZAM na pembeni SIMBA unafikiri nani atakuwa mwiba mchungu?
View attachment 2685097
Wazee wa mizoga wameokota zoga lingine
 
Back
Top Bottom