Beki wa Manchester City anaendelea kusota jela

Kesi bado haijatolewa hukumu mkuu ila alinyimwa dhamana baada ya taarifa za kesi kuwa na mantiki.....so hizi video kuvuja zinamaanisha nikweli ni yeye ndie mhusika......

Lakini hatafungwa miaka mingi, nafikiri, sema ameharibu jina lake katika tasnia ya soka
Kapata bahati sana uengereza wanafunga nusu, yaani kama umefanya kosa la miaka miwili unafungwa gerezani mwaka mmoja , mwaka uliobaki wanakutoa nje wanaweza wakakupiga tag kila unapoenda wanakujua umeenda wapi, na kakakupa 12 hours za day time tu kukaa nje hour zilizobaki lazima uwemo ndani
 
Kama hajafikia umri wa consent inamaanisha amebakwa maana Hajafikisha umri sahihi wa kufanya maamuzi....wewe ukikutwa Na katoto ka miaka3 hatakama kanafuraia mic unakabaka.
Kwahyo mohamad alivyokachumbia katoto ka miaka 6 ingekua sasa angekula miaka 30 na viboko hamsin kila siku asubuhi na jioni?
 
kama kawaida ya watu weusi kujisahau akipata pesa ,,basi na mwenzetu ndugu Mendy wa Man city yamemkuta makuu baada ya kurekodi video akifanya ngono na kuisambaza.
sasa yuko jela kwa kosa la kumzaririsha mwanadada huyo alie kua akifanya nae ngono na hana dalili ya kitoka
Man city i asemekana wamevunja mkataba nae na mesha poteza endozment zote alizo kua nazo kabla

video ===> Video of Manchester City Player, Benjamin Mendy & 18yr Old Girl He Allegedly Raped Leâks

Duh
 
Back
Top Bottom