Wamatopeni bado wana mambo haya?Vita ya kugombea namba hyo
Mo bilioni 20 bado tunapeleka wachezaji mwananyamala?
seriously?
hoja yako imekaa kishabiki sana
ni sawa nikadhani huna hii tafakuri ya pili kwamba mchakato wa MO bado sana kuuwazia kwa sasa....sanjari na kukuunga mkono kwa Hospitali ya Mwananyamala kutokua na hadhi ya SIMBA lakini pia tutafakari kidogo tukio lenyewe na siku ya tukio ingawa pia sina hakika mchezaji huyu anaishi wapi ima ni jirani na hospitali hiyo na huenda hata majirani zake kwani ni mchezaji aliyetokea Tanga..........kiumla hapo nimeoiona solution ya haraka ilikua hapo Mnyamala na ninavyoijua siku hizi pa huduma zimeboreka sana .....kuna mchezji wa Yanga Ladislaus Mbogo sasa hivi yupo Toto alifanyiwa upasuaji wa taya hapo wakiwa na mfadhili Manji.........Mimi ni Simba damu.....
wewe kama unaona kupeleka wachezaji mwananyamala hospital ni sawa..haya
mimi naona kwa ukubwa wa timu ya Simba hata kama Mo hajapewa timu
wachezaji wanapaswa kuwa na insuarance ya matibabu ya hospitali yoyote ile Tz...
wachague wenyewe....sio kwenda kugombea vitanda huko mwananyamala hospital
kwani mwanaNyamala hawa Bima ya Afya , umekariri mzeeMimi ni Simba damu.....
wewe kama unaona kupeleka wachezaji mwananyamala hospital ni sawa..haya
mimi naona kwa ukubwa wa timu ya Simba hata kama Mo hajapewa timu
wachezaji wanapaswa kuwa na insuarance ya matibabu ya hospitali yoyote ile Tz...
wachague wenyewe....sio kwenda kugombea vitanda huko mwananyamala hospital
Mkuu, wanasema billion 20 wananunua treasury bonds. Zikianza kuzaa after one year ndiyo hela inaweza kutumika kwenye club. Si ajabu (ni maoni yangu) wakati wakisubiri ataikopesha hela club ili bond zikiiva alipwe!Mo bilioni 20 bado tunapeleka wachezaji mwananyamala?
seriously?
Mkuu, wanasema billion 20 wananunua treasury bonds. Zikianza kuzaa after one year ndiyo hela inaweza kutumika kwenye club. Si ajabu (ni maoni yangu) wakati wakisubiri ataikopesha hela club ili bond zikiiva alipwe!
Hamna tofuati na mwenzake anayekodi. Wote wajanja wajanja tu.