Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,709
- 47,234
Zinapigwa nyimbo gani na mimi sikilizeHabari za usiku mteke wapendwa....
Nimejizuia kuandika kwa lugha baba (ya kimalkia) ili nijieleze kinaga ubaga....
Iko hivi, mara zote nikiwa kwenye Mahaba mazito nakuwa na mshawasha kiasi kwamba najiona kabisa natoka nje ya vile nnavyo jifahamu....
Yaani kama niko eneo la wazi sioni aibu kumbusu mpenzi wangu, kumkumbatia, kucheka kwa sauti ya mahaba......
I can dance, sing for him and smile endlessly.....
Yaani am overwhelmed.....
Ooh lugha ishahama, hapa najua mida imeenda, kesho ibadani ila niko kilingeni naichakaza dancing floor....
View attachment 1707761
The loved one....
View attachment 1707762
Hyper Kasie.... dancing old school songs ... all night long....
#beinginlove wuuuuuuuuuuhhhhh....