Ni nzuri hii, lakini saikolojia ya maisha ile self esteem utakayoifikia huwa inaathirika sana na mazingira na watu wanaokuzunguka, hivyo unaweza ukawa unastrive kuwa the the real man in the unrealmen society, u real need kuwa na watu around wenye utashi wa kuweze kuelewa kuwa kile unachifanya ni kueleka kuwa real men, unless otherwise vikwazo ni vingi sana katika kibongongo environment. Speaking of wearing suit 3 tymes a week na daladala zetu??