Kila la Heri M.R.A Moshi.. umri bado unakuruhusu kushiriki olimpiki nne zaidi.Date::8/14/2008
Kuondolewa kwa Rushaka, 28, kunafanya matumaini ya Tanzania kwenye michezo ya bwawani yabakie kwa chipukizi, Magdalene Ruth Alex Moshi, ambaye atashiriki mchuano huo wa mita 50 (freestyle) akiwa katika Kundi la 3.
Magdalene, ambaye kama Rushaka anashiriki kwa mara ya kwanza Michezo ya Olimpiki, ana umri wa miaka 17 na kuvuka raundi ya kwanza itakuwa ni mafanikio makubwa kwa chipukizi huyo.
Track and field imeshaanza, siku zote huwa nashangaa kwa nini watz(wamasai) awaendi kurusha mikuki...😀
Bimkubwa...Yaani rafiki umesema kweli, tuna watu wa kabila nyingi kutokana na kazi zao za jadi tungekuwa mbali sana tukiwaelewesha kuwa kuna michezo na mashindano ya shughuli kama hizo.
Wamasai- Kurusha mikuki
wajaluo, wakwaya, wakerewe, wahaya- canoeing hata uogeleaji maana hatari ni chache mno katik ziwa kuliko pwani
Wakikuyu- weightlifting- you should see the loads wanazobeba wanawake huko Kiambu
Nimemwona anapashwa misuli moto, atakimbia heat inayofuata.. siku njema!Thats good time. Vipi Tyson Gay? natoka kidogo maana naona siwezi kuziona hizo mbio ngoja nikae niangalie Randy Jackson's best dance crew.
Asante. i appreciate it.