Baadh ya vtu kama vipi?Vipo baadhi ya vitu tu, vingne vinafanana na vya k'koo tu
Tuyaache kama yalivyo
Laptop hapana kule bei kubwa hivyo vingine sawaFreezer, redio, flat screen tv, laptop
Tuyaache kama yalivyo
Kwamfano hzo kama inayouzwa Dar laki4 huko inaeza ikawa shngapZipo zile ambazo tayari zimetumika uarabuni mkuu
Tuyaache kama yalivyo
kasema vifaa vya umeme, itakuwa kama way, sockets, bulb, main switch, circuit breaker, earth rod na kadhalikaBaadh ya vtu kama vipi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kasema vifaa vya umeme, itakuwa kama way, sockets, bulb, main switch, circuit breaker, earth rod na kadhalika