Hivi sirikali ishafanya evaluation ya majengo yake yaliopo Dar na kujua thamani yao?
Naming TBA (Tanzania Building Agency) wanaweza kupewa tenda ya kufanya commercial valuation ya haya majengo. Swali langu je majengo ya wizara na idara mbalimbali za serikali hapa Dar yanaweza kufikia kiasi gani kwa kila jengo?
Mimi mfano nina interest ya kujua hili jingo la wizara ya Mambo ya Nje jipya linaweza kuwa kiasi gani likishakamilika?
Cost ya kuuza jingo jipya kama hili sijui itakuwa ni kiasi gani.
Hili wazo likija kuwa serious kuna majamaa bado yana mabilion waliyokwapua awamu iliyopita na katika mchakato wa money laundering unakuta ndio wanaishia kuyamiliki! Alafu vicious cycle inaendelea kama ilivyoumbwa.
Usijiumize kichwa chako kabisa..hakuna jengo litakalouzwa hata moja kwakuwa yale si mali ya shirika la nyumba wala Bob
Na hata kama hilo litatokea (kwa uchizi na uendawazimu tuu)huo mchakato si wa leo kesho wala mwakani