Bei za hostel pale Duce.Nje ya Chuo Bei gani?

Bei za hostel pale Duce.Nje ya Chuo Bei gani?

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,351
Reaction score
4,616
Wadau,naomba kufahamu kwa wenye taarifa sahihi

Gharama ya Hostel nje ya chuo jirani na DUCE ni bei gani na upatikanaje wake ukoje?
 
Me nipo hapa duce naingia mwaka watatu nashindwa nianzie wapi kukujbu naona weww hauko serious, application za mkopo deadline tar4 sept umejuaje kama umekosa? Selection za chuo nazo hadi 30th mwez huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu kuuliza si ujinga,nimetumia MB,muda na effort kutafuta hii taarifa.Ningekuwa siko serious nisingeuliza.Kama umenielewa shida yangu sasa hivi nafanya fundraising kwa wanandugu.Na nimuhimu niwe na Taarifa muhimu na nimeomba msaada huku kwa kuwa naamini wana jukwaa mna taarifa sahihi.
 
Ingia kwny profile yangu upitie kuna post niliweka siku za nyuma ina taarfa zote kuhs duce na zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii bei kwa semester ama?
Kwa uzoefu wangu, hapo itakua ni kwa semista ila ndiyo mnashare room washkaji kadhaa.
Na kama hosteli zimependekezwa na chuo, umeme na maji vinakua vimehesabiwa.

Ila nashauri uongee na Mlezi wa wanafunzi juu ya ishu kama hii.
 
Msaada
Chumba kina range 50~80
Umeme kufata na matumizi ya nyumba uliyopanga 10~20
Maji kununua
Zote ni kwa mwezi
** hostel zipo kuanzia 100000 [HASHTAG]#jipange[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom