Bei za Camera Nikon D3100 na D3200 ...

Bei za Camera Nikon D3100 na D3200 ...

Mu7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
1,635
Reaction score
1,951
Naomba kwa yeyote anayejua bei ya camera hizi mbili brand new katika soko la hapa nyumbani Tanzania anisaidie.
 
LAKI7.5 kabla shilingi haijashuka. zipo kariakoo kuda duka moja upande wa pili kama unakuja mnaz mmoja ukianzia stendi ya posta pale mtaa wa kongo na uhuru
 
Kwa anayejua ubora wa camera hizi anijuze what is so special na pia ipi ni bora kulinganisha na canon 5D na 7D.
 
Na kwa maeneo ya Mwanza inaweza kuwa sh. ngapi?
 
Kwa Dubai ni laki 5 zina 14.2 MP wawezakuziona souq.com lakini kuna vipesa kidogo vya ushuru kama ikisafirishwa kwa Posta ukiitaji tuwasiliane
 
Kwa anayejua ubora wa camera hizi anijuze what is so special na pia ipi ni bora kulinganisha na canon 5D na 7D.

Mkuu, Canon 7D ni habari nyingine...yaani ni out if this world. Naipenda hii camera kuliko Camera yoyote kwa sasa.

Sijutii na sitakuja kujuta kununua 7D.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    424.3 KB · Views: 650
Mkuu, Canon 7D ni habari nyingine...yaani ni out if this world. Naipenda hii camera kuliko Camera yoyote kwa sasa.

Sijutii na sitakuja kujuta kununua 7D.

Mkuu hizi camera canon 5Dna 7D zinawezakutumika katika professional video shooting? au zinashoot video kwa kulazimishwa?
 
Mkuu, hiyo 5D sijui maana sijawahi kuitumia...lakini hii 7D ni zaidi ya Camera' ina piga picha vizuri sana na inachukuwa video vizuri sana.
 
asante sana kwa maelezo. vipi kuhusu hizo lens za nyongeza zinakuja na camera au unazinunua pembeni..? na je zinapatikana hapa bongo au mpaka kuagiza nje
 
Mkuu, hii Camera ilikuja na kila kitu kwenye begi yake ikiwamo hiyo flash yake...ila hiyo extra long miles lens niliinunua peke yake. Mkuu, Canon 7D ni mashine ile mbaya!!.
 
asante sana kwa maelezo. vipi kuhusu hizo lens za nyongeza zinakuja na camera au unazinunua pembeni..? na je zinapatikana hapa bongo au mpaka kuagiza nje

Sorry, hiyo extra long miles lens nilinunua nilipokuwa Guangzhou China...kwa hapa Bongo sijui kama zipo na kama zipo bei yake sijui ni kiasi gani.
 
Mkuu hizi camera canon 5Dna 7D zinawezakutumika katika professional video shooting? au zinashoot video kwa kulazimishwa?
Zinatumika kwenye professional video shootings. Basically, 7D ni full frame (35mm) sensor wakati 5D ni APS-C yaani ipo cropped.
7D ipo poa zaidi ya 5D hasa kwenye videos zinazocukuliwa kwenye low light.
Better autofocus na 7D inaweza kutumia MP4 au MOV wakati 5D ni MOV peke yake kwa hiyo 7D inakupa more editing platforms. Pia 7D inaweza kurekodi 1080p in 60 frames/sec wakati slow motion kwenye 5D itakupa 720p.
Kwenye stils sioni tofauti sana.
 
Asante mkuu, haya maelezo nitayahifadhi. Swali lingine, ni kwanini wapiga picha wengi wa video kwenye masherehe huwa hawatumii hizi camera, wanatumia camcorders? Ni kwamba hizi hazifai kuShoot video wakati unatembea nayo au ni lazima iwepo kwenye Tripod stand?
 
Ni vizuri zikiwepo kwenye tripod stand kwa sababu siyo nzito na shaking itakuwa inaafect autofocus. Yaani unaposhake picha kwa muda Fulani inakuwa blurred, but inastabilize in a sec.
Camcordes kubwa kwanza ni nzito zinatulia begani, zina technology kubwa na sensors za maana ingawa ndogo nao zinajituma siku hizi. ila vi camcorder vidogo vigine huna haja ya kuwa navyo, bora DSLR cams.
 
Ni vizuri zikiwepo kwenye tripod stand kwa sababu siyo nzito na shaking itakuwa inaafect autofocus. Yaani unaposhake picha kwa muda Fulani inakuwa blurred, but inastabilize in a sec.
Camcrdes kubwakwaza zin technology kubwa na sensors za maana ingawa ndogo nao zinajitmasiku hizi. la vi camcorder vidogo vigine huna haja ya kuwa navyo, boa SLR cams.

Kwa ushauri wako, kwa hii slr kama 5D, unaweza kuitumia kushoot video ukiwa kwenye gari, kama vile unaposhoot video ya msafara wa harusi?
 
Unaweza ila ukitumia 7D itakuwa poa zaidi, but 720p is okay but you can get 1080pkwa kutumia 7D na hata kama bwana harusi atapiga sumer saut kwenye reception, you can catch that shit and repeat it in slow motion with 1080p.
Hata kina dada wakiwa wanasugua gaga you can catch it in slow motin with high quality.
Get a 7D, you may quit your job.
 
Nashukuru sana kwabushauri wako. Be blessed
 
Na unailinganishaje Canono 5D na Nikon D3200 kwa ubora wa picha na bei ya Canon 5D ni shilingi ngapi katika soko la bongo?
 
Back
Top Bottom