BEI za BIDHAA zapaa tena

BEI za BIDHAA zapaa tena

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Wakati Serikali na chama tawala wakiendelea na porojo za kipuuzi,bei za bidhaa muhimu sokoni na dukani zimepaa. Bei za unga,mchele,maharage,chumvi na sukari kwasasa hazishikiki. Wakati kilo ya unga ikiwa 1500,mchele ni 3000 na sukari ni 2000. CCM na Serikali yake ni maadui zangu nambari moja hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom