Kwann usiende yellow pages ukatafuta namba za simu sehemu husika ukawapigia ukapata majibu sahihi badala kusumbuka humu jf kwani humu hapauzwi mabati mkuuu
Sasa naye asipojibu watu watajuaje kuwa yuko JF?Mkuu hakukuwa na lazima ya wewe kujibu kama huwezi kusaidia