Bei ya vyumba vya kupanga musoma

Bei ya vyumba vya kupanga musoma

jonas255

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
225
Reaction score
112
Habari zenu wadau...

Mimi ni mtumishi nimepangiwa kazi halmashauri ya wilaya ya musoma mjini... Nilikuwa naomba kujua bei elekezi ya vyumba vya kupanga chumba na sebule itapendeza ikiwa na choo ndani... Mimi ni mwalimu i receive 400k per month... Please help me
 
Usihofu mkuu nadhani bei haiwezi kutofautiana sana na miji au mikoa mingine ukiacha dar, arusha na mwanza! Pia Bei hua inategemea na eneo husika mfano uswazi, kwa walionazo au kwa middle class! Kwa hiyo laki 4 naamini utabakiwa tu na salio la kutosha lisilopungua 3.5
 
Ungesema umepagwa shule gani ili kuona maisha ya mazingira karibu na shule ulio pangiwa...
 
Back
Top Bottom