Bei ya vyumba Mabibo Dar

Bei ya vyumba Mabibo Dar

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Mabibo hakuna foleni sana. Naomba kujua bei ya vyumba vya kupanga kuishi na hali ya huko kwa ujumla. Nataka mwenye nyumba asiwe anakaa hapohapo.
 
Picha ya nini tena. Mi nataka vyumba.2
 
Tatizo la Mabibo ni maji na umeme kukatika kila jioni. njoo Kimara
 
metoo nataka kuhamia kipande hicho maana usafiri bomba sana.tabata mpaka nazeekea kwenye foleni aghrrrrrr:evil:
 
Sasa jamani ni sehemu gani nzuri kuishi kwa watu wa vipato vya katikati!?
 
Back
Top Bottom