Bei ya viwanja Goba na Salasala

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
Naomba kuuliza bei ya viwanja ipoje KIWASTANI maeneo ya Goba na Salasala ambapo si mbali na barabara kuu na kuna miundombinu muhimu mf umeme. Ukubwa wa kiwanja kwenye 30m Kwa 40m au juu/chini kidogo. Msaada pls wanaojua bei.
 
Back
Top Bottom