NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,965
mkuu nunua tu, kata vipande sisi tunakuja na treni kesho, tutakuungisha usijali.Wakuu heshima kwenu
jana nilikwenda eneo moja ktk halmashauri ya dodoma mtaa wa kiterera.lengo ni kununua kipande cha ardhi kama ekari 5.
bei niliyoikuta mwili ulininyong'onyea toka sh. laki 2.5 kwa ekari moja hadi milioni 1.5 kwa muda wa wiki moja tu iliyo pita
ni pazuri ingawa ni nje kidogo na mji lakini tatizo ni usafiri wakukufisha hukomkuu nunua tu, kata vipande sisi tunakuja na treni kesho, tutakuungisha usijali.
chanika km 30 kutoka katikati ya dar kulikuwa mashamba 2008, sasa hivi nao miogo na mboga wananunua, usafiri na huduma za kijamii zakutosha.ni pazuri ingawa ni nje kidogo na mji lakini tatizo ni usafiri wakukufisha huko
Kama hela ipo chukua kwa bei hiyo uliyoikuta, utakaporudi utakuta imeongezeka tena!Wakuu heshima kwenu
jana nilikwenda eneo moja ktk halmashauri ya dodoma mtaa wa kiterera.lengo ni kununua kipande cha ardhi kama ekari 5.
bei niliyoikuta mwili ulininyong'onyea toka sh. laki 2.5 kwa ekari moja hadi milioni 1.5 kwa muda wa wiki moja tu iliyo pita
wanamiliki huko kiterera au sehemu nyingine?Nasikia kuna raia wa nchi jirani wanaomiliki ardhi wakati sheria ya ardhi hairuhusu.
Hata DSM.wanamiliki huko kiterera au sehemu nyingine?
kama una pesa nunua kijana hiyo i wish by december unashangaa bei imepanda had m.3 hukoWakuu heshima kwenu
jana nilikwenda eneo moja ktk halmashauri ya dodoma mtaa wa kiterera.lengo ni kununua kipande cha ardhi kama ekari 5.
bei niliyoikuta mwili ulininyong'onyea toka sh. laki 2.5 kwa ekari moja hadi milioni 1.5 kwa muda wa wiki moja tu iliyo pita
Mkuu punguza kidogo ukali wa maneno kwahiyo sote tuliopo huku ni vipofu? Acheni maneno ya kuambiwa dom haipo km namna unavyoifikiriaHivi hilo linalosemwa vumbu dodoma,ni dodoma yoote au kuna maeneo kuna dongo zuri na ni wapi.
Na je kwanini Dodoma vipofu wengi,maana nataka niangalie fursa ya kufungua huduma ya macho.Maana isije kuwa mji mkuu wa Vipofu,baada ya muda wote tukaanza kuvaa miwani za macho
k
kama una pesa nunua kijana hiyo i wish by december unashangaa bei imepanda had m.3 huko
kama mikoa gani na maeneo yepiKilichokuvutia kununua ardhi huko ni nini? Maana kama ni ardhi ipo nyingi sana hata jirani tu na Dodoma kwa bei nzuri na ukapiga projects zako vibaya mno.... sema watu wananunua kwa fasheni kisa mji mkuu lakini tulio mikoa ya jiran ardhi kwa bei chee na inapiga projects hatari