kambipopote
Senior Member
- Nov 15, 2010
- 121
- 22
naulizia soko kabla ya kufika sokoniWewe unauzaje huko shamba mkuu
naulizia soko kabla ya kufika sokoniWewe unauzaje huko shamba mkuu
Utaibiwa bora umalizie show shambani kama huna mtu sokoni unae muelewa, kwa kuuliza huto pata jibu sahihiNdio maana
naulizia soko kabla ya kufika sokoni
Utaibiwa bora umalizie show shambani kama huna mtu sokoni unae muelewa, kwa kuuliza huto pata jibu sahihi
BarikiwaKATI YA 3-4 ELFU KWA KILO KWA BEI YA MKULIMA
NimekupataKuwa makini kwa madalali mkuu
Habari yako Mimi nataka nijaribu Kulima pwani unaweza kunipatia mbegu? Nicheki 0652136131Habari zenu wanajamvi.
Nahitaji msaada kwa yeyote anaye fahamu bei ya Kulangulisha vitunguu swaumu katika soko la Kariakoo-Dar.
Nipo Iringa nina vitunguu swaumu nataka kupeleka Dar.
Kama kuna mtu anahitaji tafadhali tuwasiliane. Au kama kuna mtu ana namba ya madalali wa Kariakoo, tafadhali nipatie.
Natanguliza shukran zangu za dhati.