cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,024
- 79,243
Hivi coco umekulia nje eeh? Kiswahili chako huwa kinanipa shida saana kukielewa.Uzi huu umenikumbusha mbali, enzi hizo nakuja TZ likizo kutoka masomoni na kabla sijarudi nchini kimoja. Wow nimesoma comments za watu, mngeona hata mabilionea wa £/€/$ uuliza bei ndio maana wapo walipo.
Kuuliza sio kwamba mtu umeona bei mbaya na hauna huwezo. Bali ni lazima kushangaa, ila niliendaga tena siku ingine nilijua kagemu na kumbe walinichezea mengi so nilijifunza kuongea bila ma accent ya nilipokulia kimasomo.
Ukiishi na kutofikiria kuwa mtu anakataa kununua goods au services, sababu hana pesa basi wewe hujitambui labda awe amekuambia hivyo.
Re level 8 kama wakati nikiwa nakua sekondari nilicheza music viwanja vikubwa, iweje ukubwani nisicheze?
Nilipokuwa boarding school pia walinzi walitajirika, ule mkoa ulikuwa mtamu kula bata kama mwanafunzi.
Hivi coco umekulia nje eeh? Kiswahili chako huwa kinanipa shida saana kukielewa.
It's honest quest.
Usipende mambo makubwa ambayo huna uwezo nayo
kaa pahala unapopamudu.
Uzi huu umenikumbusha mbali, enzi hizo nakuja TZ likizo kutoka masomoni na kabla sijarudi nchini kimoja. Wow nimesoma comments za watu, mngeona hata mabilionea wa £/€/$ uuliza bei ndio maana wapo walipo.
Kuuliza sio kwamba mtu umeona bei mbaya na hauna huwezo. Bali ni lazima kushangaa, ila niliendaga tena siku ingine nilijua kagemu na kumbe walinichezea mengi so nilijifunza kuongea bila ma accent ya nilipokulia kimasomo.
Ukiishi na kutofikiria kuwa mtu anakataa kununua goods au services, sababu hana pesa basi wewe hujitambui labda awe amekuambia hivyo.
Re level 8 kama wakati nikiwa nakua sekondari nilicheza music viwanja vikubwa, iweje ukubwani nisicheze?
Nilipokuwa boarding school pia walinzi walitajirika, ule mkoa ulikuwa mtamu kula bata kama mwanafunzi.
Huyo ni lemutuz kwenye ID ingineHivi coco umekulia nje eeh? Kiswahili chako huwa kinanipa shida saana kukielewa.
It's honest quest.