Ingia Airtel Money menu *150*60# alafu chagua namba 6 utakuta kuna menu nyingne ndani yake ya UNI chagua kifurushi unachokitaka sasa cha siku 3,week au mwezi kwa 6000/= Dk500,Unlimited SMS&GB4. Ila hakikisha una pesa kwenye account yako ya Airtel money.Unanunuaje hii?
voda 3GB piga*149*03#
utaikuta hapo
Nadhan hii offer kila mtu anayake baadhi ya namba wametuwewekea vifurushi vya kiboyavoda 3GB piga*149*03#
utaikuta hapo
Teh teh kiukweli mi naona Kwasasa Airtel ndo mwisho wa mambo yote Hawa wengine wote wakuda tuNadhan hii offer kila mtu anayake baadhi ya namba wametuwewekea vifurushi vya kiboya
Teh teh kiukweli mi naona Kwasasa Airtel ndo mwisho wa mambo yote Hawa wengine wote wakuda tu
hii ni kwaajili ya wenye line ya voda 3g tuuu ila ukibadili line ukapata ya 4g hii offer huioni tenandio maana mm nnatumia voda tsh 2000 gb3 kw siku 5 na kasi ya 4g.... mtandao ukiwa slow nna hamia airtel gb2 kw siku 3 na dk 100 aitel to airtel na dk 10 mitandao yote...
kama una line ya 4g hii offer huwezi ipata,,,ni ya kitambo ipo kwa wenye line zile za 3gNadhan hii offer kila mtu anayake baadhi ya namba wametuwewekea vifurushi vya kiboya
Mi natumia 4G na ipo kama kawakama una line ya 4g hii offer huwezi ipata,,,ni ya kitambo ipo kwa wenye line zile za 3g
unatumia 4G au unatumia LINE ya 4G?Mi natumia 4G na ipo kama kawa
Teh teh kiukweli mi naona Kwasasa Airtel ndo mwisho wa mambo yote Hawa wengine wote wakuda tu
halotel ndo mambo yote. Yani ukiwa na line ya mwana chuo ukiweka bando la 10,000 unasahau mambo ya vocha. manake inakupa GB10 na DK80 MITANDAO YOTE KWA MWEZI NA DK 1200 KWENDA HALOTEL, yani hapo kumpigia mtu wa halotel ni kama bure mwezi mzima. Halafu sasa kifurushi chao hakichachi yani ukiongeza salio unaendelea nacho kama ulikuwa umebakiza gb2 zinakuwa gb 12 ukiongeza tena salio kabda mwezi haujaisha hata ukiisha lile salio la mwezi ulioisha unaendelea nalo. Mitandao mingine yote bongo ni wizi wizi tuuuuu.Halotel nao ni kimeo.
wana 4G? Binafsi nishazoea internet ya spidi ya 4G sasa hao Halotel mi nilishawaona mizinguo tu nikaachana nao, nmebaki zangu Voda na Tigohalotel ndo mambo yote. Yani ukiwa na line ya mwana chuo ukiweka bando la 10,000 unasahau mambo ya vocha. manake inakupa GB10 na DK80 MITANDAO YOTE KWA MWEZI NA DK 1200 KWENDA HALOTEL, yani hapo kumpigia mtu wa halotel ni kama bure mwezi mzima. Halafu sasa kifurushi chao hakichachi yani ukiongeza salio unaendelea nacho kama ulikuwa umebakiza gb2 zinakuwa gb 12 ukiongeza tena salio kabda mwezi haujaisha hata ukiisha lile salio la mwezi ulioisha unaendelea nalo. Mitandao mingine yote bongo ni wizi wizi tuuuuu.
wana 4G? Binafsi nishazoea internet ya spidi ya 4G sasa hao Halotel mi nilishawaona mizinguo tu nikaachana nao, nmebaki zangu Voda na Tigo
vyote Natumia line ya 4G na internet ya 4G VoDa na napata GB3072 kwa buku2 kama kawaidaunatumia 4G au unatumia LINE ya 4G?
hyo laini ina mda gani?i.e. Miaka mingapi?vyote Natumia line ya 4G na internet ya 4G VoDa na napata GB3072 kwa buku2 kama kawaida