Harrier inaenda ngapi yard?
Tudude tunafanana huto.........ila ngoja nikuitie wataalamu......
MANI..... RRONDO....... OLESAIDIMU........ Kaizer.........
ina range kwenye million 10-13 kwenye yard za bongo
harrier au?
Zinakuwa zishalipiwa ushuru mkuu?
Naomba kujua na bei ya toyota ist showroom.
kama walivyosema wadau......kuanzia 10-13 hivi kutegemea qualityTudude tunafanana huto.........ila ngoja nikuitie wataalamu...... MANI..... RRONDO....... OLESAIDIMU........ Kaizer.........
Mkuu umeona Harrier toleo la 2015? Balaa.harrier kuanzia m 17 hadi million 48