N Ntiliabhose Member Joined Dec 31, 2012 Posts 78 Reaction score 38 Oct 9, 2013 #1 Habari wanajamvi,nahitaji msaadawenu wa mawazo,kwa anaejua bei ya hizi toyo za miguu mi3 kwa ajiri ya kubebea mizigo zinauzwaje?na wazoefu wa biashara hii ukimkabidhi mtu anakupatia shimgap kwa siku?
Habari wanajamvi,nahitaji msaadawenu wa mawazo,kwa anaejua bei ya hizi toyo za miguu mi3 kwa ajiri ya kubebea mizigo zinauzwaje?na wazoefu wa biashara hii ukimkabidhi mtu anakupatia shimgap kwa siku?
Mr.Venture JF-Expert Member Joined Jan 2, 2014 Posts 1,609 Reaction score 605 May 2, 2016 #2 Na mimi nasubiri jibu hapa. Mwenye kujua chochote plz atoe mchango wake